歌词塔 搜索歌曲

MALAIKA歌词

作词 : Aflica Folk Song
作曲 : Aflica Folk Song
Malaika nakupenda Malaika
Malaika nakupenda Malaika
Nami nifanyeje kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Kidege hukuwaza kidege
Kidege hukuwaza kidege
Nami nifanyeje kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Pesa zasumbua roho yangu
Pesa zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika
Malaika nakupenda Malaika
更多>

小野リサ最新专辑

更多>

小野リサ最新歌曲